T @TheForgexx
0:00 / 0:00

Matatizo makubwa kwenye jamii ya udhalilishaji, unyanyasaji wa kingomo kwa watoto yamekithiri sana. Yet unajiuliza, Je si kuwa wazazi au walezi pia wana emphasize unyanyasaji wa kingono kwa watoto. Mtoto mdogo amevalishwa mavazi ya mtego, mavazi ya uchochezi na anakata mauno Fresh tu. Matako nje nje. Unaweza kusema inakuwaje mwanaume anapata ushawishi kwa mtoto mdogo but hii situation watu hawaelewi (Hatuhalalishi). Tumecopy tamaduni mbaya sana za kimagharibi na ubaya Sikuhizi kuhalalisha jambo ni Kuangalia nani kafanya. Mtoto mdogo matako nje nje, Hapo unaepuka vipi ubakaji. 😭😭😭

@TheForgexx が X(旧Twitter)に投稿した動画です(2024年1月9日 ・ 動物 ・ 0:13)。XCLYP で再生・ダウンロードできます。

ギャル

コメント

読み込み中…

もっと動画を見る